Katika dunia ya leo kijana kamili ni lazima aweze kutumia mambo kama haya na siku hizi kuna mitandao mingi ya kijamii kama twitter,facebook,instragram,eskme na mimgine kibao sasa matumizi ya hivi vitu katika kufanya mawasiliano yanafaida saana tofauti na watu wanavyotumia
.
Suala la mahusiano ya kirafiki, biashara, elimu na mapenzi. siku hizi mawasiliano yamekuwa yakifanya watu toka pande tofauti za dunia kujenga uhusiano kama nilivyosema inasaida kujifunza mambo mbalimbali pia huwakutanisha watu hawa. kwa wanafunzi wanaweza kubadilishana mawazo juu ya suala la elimu na kupata maarifa zaidi. Wafanyabiashara wakubwa na wadogo wamekuwa wakifanikiwa kupitia hii kitu.ila kutokana na matumizi hasi ya hivi vitu yanatokea madhara mbalimbali kama kuongezeka kwa uhalifu kwa njia ya mitandao pia kuongezeka kwa umalaya na biashara ya ngono.
Suala lingine ni ajira , kiukweli matumizi ya mawasiliano hasa internet kumefanya watu mbalimbali kujiajili kwa mfano mablogger, madsigner wa mitandao ya kijamii na website haya ni makundi ya watu wanaonufaika na haya mawasiliano. wapo watu wengi matajiri ila tu kutokana na matumizi sahihi ya mtandao ambao wanamiliki mitandao ya kijamii kama facebook ambaye mmiliki ni MARKZURBERG.pia hapa Tanzania watu wengi wanafanya hii biashara.
Uatikanaji wa habari kwa haraka.Watumiaji wa mtandao(inetrnet) wamekuwa awkipata taarifa mbalimbali toka pande zote za dunia tena kwa kasi ya ajabu ila kutokana na matumizi sahihi ya mtandao. upatikanaji huu wa habari husaidia katika kutambua
Bibliography: Tubbs, S. l. (2000). Human Communication. singapore: McGraw-HIll International Editions. Add a comment September 16, 2012 COMMUNICATION AND ITS SCOPE